Shairi: Kwa Watafutao Mapenzi

Malenga: Oluoch Madiang’

http://madiang.wordpress.com

Mtongozaji

Usiikanye roho yako Mwanatope, mahaba yanapokunasa:

Kwa utulivu mkaangie nyama ya ulimi, hadi atulie kipusa.

Na unapomshawishi kwa biryani huyo Msupa

Chunga usimwinde kwa mishale ya pupa!

 

Mtongozwa

Ewe Msupa unayelengwa

Penda punde unapopendwa:

Sikaushe roho bure kwa kuwa mgumu

Kwani mahaba ya ngoja-ngoja hayadumu!

Advertisements

Author: Faith Oneya

Lover of the written and spoken word.

Tell me what you think...

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s